MAHAFALI YA PILI YAFANA SANA SIKU YA JANA.

Msafara wa Mkuu Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma Mh Benjamni William Mkapa Ukiwa unaingia Kwenye Viwanja Vya Chuo Kikuu Cha Dodoma Tayari kwa kuwatunuku Wahitimu hapo jana.

Kiongozi Wa timu ya Viongozi Wa Juu Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma Katika Maandamano ya kuelekea kwenye Mahafali ya Chuo Kikuu Cha Dodoma hapo jana.

Baadhi ya Viongozi Chuo Kikuu Cha Dodoma Wakiwa Tayari Kwenye Maandamo Kuelekea Kweo kwenye Mahafali ya Pili Ya Chuo Kikuu Cha Dodoma hapo jana.

Viongozi Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma Wakiongozwa Na Mkuu Wa Chuo Mh Mkapa Wakiwa wamesimama Wakati Wimbo Wa Taifa unaimbwa katika Mahafali ya Chuo Kikuu Cha Dodoma jana.

Sehemu ya Wahitimu kama wanavyoonekanawakiwa na furaha baada ya kutunukiwa shahada zao hapo jana. PICHA KWA HISANI YA tzcampusvibe.wordpress.com
Comments
Post a Comment