KWELI ZA MWIZI 40

Taarifa za uchunguzi zinamtaja mtu huyo ambaye inasemekana kuwa alikuwa katika mchakato wa kuiba mafuta ya transfoma hilo, wakati akifanya wizi huo alinasa mara baada ya kuegemea bila kujua moja ya nyaya zilizokuwa na umeme.






Picha ni kwa hisani ya blog ya www.gsengo.blogspot.com
Comments
Post a Comment