BRAND NEW MUSIC FROM MZEE WA COMMERCIAL AY ft. Fid Q - JIPE SHAVU


Ni ngoma mpya kutoka kwa mwanamuziki AY ambae anazidi kufanya vizuri katika muziki
 Hapa ame-drop JIPE SHAVU ...
Katika ngoma hii, AY amemshirikisha rapper kutoka Mwanza maarufu kama FID Q, ikiwa imetengenezwa katika studio za MPO AFRICA huku mdundo ukiwa umesukwa na producer Q Tha Don ...

source:gongamx.com


Kuwa wa kwanza kusikiliza na download JIPE SHAVU hapa chini :

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA