USIKU WA FIESTA ULIVYOFUNIKA HAPA DAR



Lil Kim baada ya kupiga songi zake kadhaa,alimuita msanii Juma Nature jukwaani na kuanza kuimba nae,ama kwa haki kuliibuka makelele na mayowe ya shangwe ile mbaya uwanjani hapa.
Vijana wa kundi la Bracket toka Nigeria wakikupa 'Yori Yori'


Mkali wa aladji aladji kutoka Ivory Coast,Jeff akimchezesha densa wake na kibao chake maarufu kabisa cha aladji mbele ya umati mkubwa uliofika kwenye tamasha la fiesta jipanguse.


Kundi la Wanaume TMK,Chege,Temba na Kr Mulla wakilivamia jukwaani vyema kabisa na moja ya wimbo wao wa Mambo bado,Makelele yalitawala hapa uwanjani ile mbaya ni full .


Ni barnaba na Lina hawa pia walipangawisha mbaya na kibao chao cha wrong no

Mkali Roma on the stage,huyu jamaa nilikuwa sijawai kumuona on the stage lakini kitu nilichokiona ni kwamba jamaa ni mkali sana,watu walinyanyua mikono yao kumpa support ya kutosha.

Umati wa watu uliojitokeza kwenye usiku wa fiesta

Mambo ya aladji ,hawa madensa wanakata viuno ni hatari

Lil kim on the stage

Lil kim pia alikuwa na densa wake hapa wakionyesha umahiri wao kwenye stage



Msanii wa bongo flava Juma Nature akicheza na Lil'Kim wakati wa Fiesta katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar usiku wa kuamkia leo

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA