waliochukua fomu za kugombea urais mpaka sasa

Hadi kufikia tarehe ya leo, Jumamosi 14 Agosti 2010 wagombea waliochukua fomu za kinyang'anyiro cha Uraisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni hawa watuatao:

1. Richard Kiyabo - NRA
2. Jimmy Obedi Mshana - Demokrasia Makini
3. Jakaya Mrisho Kikwete - CCM
4. Peter Mziray - APPT-Maendeleo
5. Paul Kyara - SAU
6. Christopher Mtikila - DP
7. Wilbroad Slaa - CHADEMA
8. Ibrahim Lipumba - CUF
9. Mutamwega Mugahywa - TLP
10. Hashim Rungwe - NCCR-Mageuzi


Kwa bahati mbaya, wasifu wa wengi wa wagombea hawa imekuwa ni vigumu kuupata

habari hii ni kutoka tovuti ya www.wavuti.com

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA