PRECISION AIR YAONGEZA NDEGE MPYA


Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh.Mohammed Babu akikata utepe kama ishara ya kuzindua ndege mpya ya Precision ART 42- 500 yenye uwezo wa kubeba abiria 48 ambayo itafanya safari zake kati ya Dar es salaam na Bukoba na kurudi Dar es salaam, ndege hiyo iliruka kutoka Dar es salaam kwenda Zanziar na kurudi kwa majaribio na inatarajia kuanza safari zake mwezi ujao, wanaoshuhudia katika picha kutoka kulia ni Jamal Hussein Afisa Mtendaji Mkuu Citi Bank, Allan Sharra Kaimu Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Precision Air na kushoto ni Rubani wa Ndege hiyo Chohan Mbarouk
Mwana blog John Bukuku wa www.fullshangwe.blogspot.com akijiandaa kushuka mara baada ya ndege hiyo kurejea Dar es salaam ikitokea Zanzibar jana.
Mkuu wa Mkoa wa Kagera ambaye alikuwa mgeni rasmi Mh. Mohamed Babu katikati akisubiri ndege itue ili kufanya uzinduzi rasmi kwa kukata utepe kulia ni Allan Sharra Kaimu Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Precision Air kushoto ni Jamal Hussein Afisa Mtendaji Mkuu Citi Bank na mwisho kushoto ni Lucy Malu Meneja Mkazi Kenya Airways.
Hii ndiyo ndege mpya ya Precision Air ATR 42- 500 yenye uwezo wa kubeba abilia 48 itakayofanya safari zake kati ya Dar es salaam na Bukoba.
baadhi wa Marubani wa Precision Air wakiwa katika uzinduzi huo jana.
Meneja wa Uhusiano wa Kampuni ya SCANAD Barnabas Lugwisha akiwa na mmoja wa waalikwa katika ndege hiyo mpya ilifanya safari kati ya Zanzibar na Dar es salaam jana kwa ajili ya uzinduzi rasmi.

Comments

  1. Use all tools to demonstrate your innovative thinking and to plan an impeccable happening.
    You need to make real efforts towards inviting your friends to your fan page.
    Follow the installation process after the download is complete.


    Feel free to surf to my blog :: facebook fans kaufen

    ReplyDelete
  2. Let's think of words that sound dirty but really aren't.
    Port forwarding lets you specify which ports the game needs to perform at it's best. It fizzles as the lights go out, and she says it's
    been great talking to you.

    Also visit my web site: click the next web page

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA