Posts

Showing posts from May, 2015

EDWARD LOWASSA ATANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS WA TANZANIA, JIJINI ARUSHA

Image
 MTANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS KWA TIKETI YA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM), AMBAYE PIA NI MBUNGE WA JIMBO LA MONDULI, MH. EDWARD LOWASSA AKIWAPUNGIA MKONO MAELFU YA WANANCHI WALIOFURIKA KWA WINGI KWENYE UWANJA WA MICHEZO WA SHEIKH AMRI ABEID,JIJINI ARUSHA JIONI YA LEO, WAKATI WA KUTANGAZA NIA YAKE HIYO YA KUWANIA URAIS WA AWAMU YA TANO WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. SOURCE: HTTP://ISSAMICHUZI.BLOGSPOT.COM/  MTANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS KWA TIKETI YA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM), AMBAYE PIA NI MBUNGE WA JIMBO LA MONDULI, MH. EDWARD LOWASSA AKIWAPUNGIA MKONO MAELFU YA WANANCHI WALIOFURIKA KWA WINGI KWENYE UWANJA WA MICHEZO WA SHEIKH AMRI ABEID,JIJINI ARUSHA  WAKATI WA KUTANGAZA NIA YAKE HIYO YA KUWANIA URAIS WA AWAMU YA TANO WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.  MBUNGE WA JIMBO LA MWIBARA, MH. KANGI LUGOLA AKISALIMA UMATI WA WATANZANIA ULIOFURIKA KWA WINGI KWENYE UWANJA WA MICHEZO WA SHEIKH AMRI ABEID,JIJINI ARUSHA JIONI YA LEO...

YALIYOJILI KWENYE MAGAZETI YA LEO JUMAPILI, MEI 31 SOMA HAPA

Image

JUKWAA LA WAHARIRI NI JUKWAA LA MAJIZI; LIFUTWE.

By Malisa GJ, Juzi Wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari kupitia umbrela yao iitwayo "Jukwaa La Wahariri" walisafirishwa kwenda kuonana na Eddo. Gharama za usafiri, chakula, malazi, communication allowance etc, zililipwa na Eddo mwenyewe. Jana wakafanya nae Press Conference, lakini yaliyotokea huko ni aibu tupu. Nimeona baadhi ya maswali waliyouliza wahariri hao kwa Eddo nikatokea kuwadharau sana. Moja ya swali lililoulizwa na Hamis Dambaya ni hili, "Mheshimiwa Kuna watu wanaandika juu ya afya yako kutetereka, lakini sisi tunakuona fit ndio maana umetuita hapa.. je unalisemeaje hili?" Hahahaa.! Nimecheka sana.. Hivi ni swali gani hili? Hili ni swali la kuulizwa na mwandishi wa habari? Tena Hamis Dambaya aliyebobea katika taaluma ya Habari kwa kiwango cha Masters katika Mass Communication? Mwingine akauliza eti "kuna watu wanakuita Eddo badala ya kukuita kwa hadhi yako Mhe.Edward Lowassa. Na wewe umekua ukiitika hata unapoitwa Eddo, Je huoni hii ...

SOMA MAGAZETI YA LEO ALHAMIS

Image