MWIGULU NCHEMBA AJIUZULU WADHIFA WAKE WA UNAIBU KATIBU MKUU WA CCM TANZANIA BARA Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps May 25, 2015 Mwigulu Nchemba amejiuzulu nafasi yake ya Naibu Katibu Mkuu CCM ili kupisha agombee Urais na akishindwa atarudia nafasi ikimpendeza M/kit. Nafasi ya Naibu Katibu Mkuu CCM iliyokuwa imashikiliwa na Mwigulu Nchemba imechukuliwa na ndugu Rajab Luwavi. Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Comments
Comments
Post a Comment