MGOMO WA MADEREVA NA VYOMBO VYA MOTO TENA LEO

Madereva wa Vyombo vya Usafirishaji katika maeneo mbalimbali  nchini, wameingia katika Mgomo tena leo kutotoa huduma hiyo kwa kile kinachodaiwa kwamba waitaka serukali iwasikilize madai ya mikataba yao kati yao ma waajiri.
Hali ya mgomo huo, umepelekea adha kubwa kwa abiria wa vyombo hivyo, hasa wale waliokuwa wakielekea mikoani, pamoja na watu wenye magari yao kwani baadhi ya maeneo kama tegeta watu wa magari binafsi wamelazimishwa kupandisha abiria tena bure.
hali hii imesababisha abiria wengi wa daladala kutembea kwa miguu katika jiji la dar es salaam.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA