ADHA YA USAFIRI WALIYOIPATA RAIA, KUTOKA MOSHI NA DAR ES SALAAM HAPO JANA



Screen kubwa kwa ajili ya matangazo ya biashara iliyoko jirani na kituo kikuu cha mabasi ikionesha picha ya mashindano ya magari na kugeuka kitulizo kwa abiria baada ya kukosa usafiri kutokana na mgomo wa madereva uliotikisa nchi nzima.



Comments