ELIMU YA KIAFRIKA KWELI NI HATARI

Bado kuna maeneo nchini ambayo watoto ambao ndo watakuwa wabunge na mawaziri wa taifa la kesho wanasomea katika mazingira kama haya ,mvua ikinyeesha hakuna shule je jua inakuwa vipi sasa.............picha kwa hisani ya wanafacebook
Comments
Post a Comment