Miss Universe kutifuana leo


Warembo ishirini kutoka mikoa mbalimbali leo wanaratajiwa kutifuana kwenye shindano la kumtafuta mrithi wa taji la Miss Universe 2010/2011 ambalo mpaka sasa linakamatwa na Illuminata James.
Mkurugenzi wa Campass Communication Ltd, Maria Sarungi amesema fainali za kumtafuta mnyange huyo zitafanyika leo ndani ya Ukumbi wa Mlimani City Conference Centre jijini Dar es Salaam.

Maria alisema kuwa kila kitu kimeshakamilika na pambano hilo linatarajiwa kuwa la aina yake kutokana na kila mrembo kuwa na vigezo vinavyokubalika.
taarifa hii ni kwa hisani ya globalpublishers website

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA