KUMBUKUMBU YA KUMKUMBUKA MARTIN LUTHER KING


leo ni kumbukumbu ya Mwanaharakati wa kutetea haki ya mtu mweusi(Martin Luther King)aliyezaliwa mwaka 1929 huko Marekani na kufariki mwaka 1968 na kuzikwa Atlanta.Alikuwa ni mpigania haki za mtu mweusi aliyeshiriki katika Civil Right Movement na Pan African Movement ili kumkomboa mtu mweusi,kutoka mikononi mwa Wazungu,juhudi zake na mchango wake hautasahulika kamwe pia ndoto yake aliyokuwa nayo kuwa siku moja nchi ya marekani itaongozwa na mtu mweusi imeshatimia.RIP

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA