Nameless kutumbuiza miss universe

AY AND NAMELESS

Mwanamuziki kutoka nchini Kenya atambulikae kwa jina la Nameless pichani (kulia) akiwa na msanii Mwenzake wa Tanzania Ambwene Yesaya a.k.a AY muda mfupi baada ya kuwasili uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar leo. Nemeless ni mmoja wa wasanii watako tumbuiza katika shindano la Miss Universe Aprili 23, 2010 katika ukumbi wa Mlimani City.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA