Posts

Showing posts from April, 2016

MMAREKANI AHUKUMIWA KUFUNGWA NA KAZI NGUMU KOREA

Image
Kim alipatikana na makosa ya kufanya ujasusi Raia wa Marekani amefungwa jela miaka 10 na kazi ngumu nchini Korea Kaskazini baada ya kupatikana na makosa ya kufanya ujasusi, shirika la habari la Uchina la Xinhua limeripoti. Kim Dong-chul, raia wa Marekani aliyezaliwa Korea Kusini, alikamatwa mwezi Oktoba mwaka jana. Kim aliwasilishwa kwa wanahabari mjini Pyongyang mwezi jana na akaoneshwa akikiri makosa, na kusema kwamba alilipwa na Korea Kusini kufanya ujasusi. Mwezi Machi, mwanafunzi mwingine Mmarekani alifungwa jela miaka 15 kwa kujaribu kuiba bango la propaganda. Alipatikana na makosa ya "uhalifu dhidi ya dola”. Mhubiri wa Canada afungwa maisha Korea Kaskazini Waziri auawa kwa kusinzia mbele ya rais Kim amefungwa jela katika kipindi ambacho uhusiano baina ya Korea Kaskazini na Umoja wa Mataifa, Marekani na nchi nyingine za Magharibi umedorora. Majuzi, Pyongyang imefanya msururu wa majaribio ya kurusha makombora baada ya kufanyia majaribio bomu ya nyukli

MSD yafafanua kuhusu dawa "zilizochukua rekodi ya safari ndefu kufika Muhimbili"

Image
Mkurugenzi Mkuu MSD, Laurean Bwanakunu akionesha moja ya nyaraka inayoonesha upelekaji wa dawa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam leo BOHARI ya Dawa (MSD) imetoa ufafanuzi kuhusu dawa za sh.bilioni mbili kuwa njiani kutoka Bohari ya Dawa ya Keko kwenda Hospitali ya Taifa ya Muhimbili tangu mwaka 2012. Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Laurean Bwanakunu alisema hakuna dawa ambazo ziko njiani tangu mwaka 2012 kutoka Bohari ya Dawa kwenda Muhimbili kama ilivyodaiwa na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Bungeni. Bwanakunu alisema kuwa ripoti ya CAG ilionesha dawa na vifaa tiba vyenye thamani ya sh.bilioni 2.03 havikuwa vimefika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili tangu Mei 2012 licha ya kuonekana kwenye ankara 23 na Bohari ya Dawa. "Tunapenda kutoa ufafanuzi kuwa ankara hizo sio kwamba dawa hazikufika hospitalini hapo, bali hazikuonekana k

Google starts labeling 'Contains Ads' for apps and games monetizing using ads

Image
Google's Play Store has started implementing what it informed developers last year about declaring whether their apps had ads or not.  Users who'd rather pay a little amount to have ads taken off permanently, or  those who are annoyed by having to install the app first to find out if it has ads or not before uninstalling it, will appreciate this move of helping them know beforehand what's in the app or game they're installing. Now, apps and games have started showing up on the Play Store with "Contains ads" text, right below the Install / Buy / Open button and next to "In-app purchases" (if applicable).

Taarifa ya habari ChannelTEN, Aprili 29, 2016

Image

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA KUWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI KATIKA NCHI ZA UKANDA WA MASHARIKI NA KUSUNI MWA AFRIKA LEO

Image
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua mkutano kuhusu kuwezesha wanawake kiuchumi katika nchi za Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika. Mkutano huo umeandaliwa na Jopo la Ngazi ya Juu la Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon alilolituewa Mwanzoni mwa huu, kusaidia kufanya uchambuzi na kutoa mapendekezo ya namna ya kuchagiza kasi ya kuwezesha wanawake kiuchumi ifikapo 2030. Umefanyika Leo April 29,2016 Hyatt Hotel Dar es salaam. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Jopo la ngazi ya Juu la Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa la kuwezesha wanawake kiuchumi Baada ya kufungua mkutano kuhusu kuwezesha wanawake kiuchumi katika nchi za Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika. Mkutano huo unazungumzia kuhusu kusaidia kufanya uchambuzi na kutoa mapendekezo ya namna ya kuchagiza kasi ya kuwezesha wanawake kiuchumi ifikapo 2030. Umefanyika Leo April 29,2016. (Picha na

RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA RASMI KIKAO KAZI CHA MAKAMANDA WA POLISI, WANASHERIA WA SERIKALI WAFAWIDHI WA MIKOA NA WAKUU WA UPELELEZI WA MIKOA NA VIKOSI MKOANI DODOMA

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Makamanda wa Polisi, Wanasheria wa Serikali,  Wafawidhi wa Mikoa na Wakuu wa upelelezi wa Mikoa na Vikosi kabla ya kufungua rasmi Kikao kazi cha Makamanda hao wa Polisi katika Ukumbi wa Dodoma Convention Center Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Makamanda wa Polisi, Wanasheria wa Serikali,  Wafawidhi wa Mikoa na Wakuu wa upelelezi wa Mikoa na Vikosi kabla ya kufungua rasmi Kikao kazi cha Makamanda hao wa Polisi katika Ukumbi wa Dodoma Convention Center Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama pamoja na viongozi wengine wakati wimbo wa Jeshi la polisi ukipigwa. Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Charles Kitwanga, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana, Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju, Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Valentino Mlowola, Kushoto kwake ni Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Harison

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI, APRILI 30

Image

KIKOSI CHA JWTZ KILICHOPO CONGO KIMESHIKA NAMBA 27 KATIKA VIKOSI MAHIRI NA HATARI KATIKA MAPAMBANO

Image
Anaandika  Christopher Cyrilo . Kikosi cha Jeshi la wanananchi wa Tanzania kilichopo Congo kimetajwa ktk orodha ya vikosi mahiri na hatari kabisa ktk  Mapambano  (The most badas Elite Fight Units). Jeshi la maji la Marekani (US Navy SEAL) ndio linashika nafasi ya kwanza, likifuatiwa na Jeshi la anga la Uingereza (British Special Air Forces). Ktk orodha hiyo inayotaja vikosi 35 duniani vyenye nguvu, mbinu, umahiri na ambavyo ni hatari sana ktk mapambano, Jeshi la Tanzania lililopo Congo linashika nafasi ya 27 likiwa ni Jeshi pekee kutoka Afrika kuingia katika orodha hiyo. Nitoe pongezi kwa JWTZ kushika nafasi hii ya juu kbs ya heshima ktk majeshi. Mungu azidi kuwapa nguvu ktk kulitumikia taifa. Kwa taarifa zaidi tembelea http://m.atchuup.com/badass-elite-fighting-units/ 1. US Navy SEAL 2. British SAS 3. Huntsmen Corps : Danish Special Forces 4. French Special Forces 5. Shayetet 13 (Israeli Special Forces) 6. Irish army rangers 7. Australian SASR 8. MARSO