CHANGAMKIA NAFASI ZA KAZI KUTOKA UTUMISHI AUGUST 1, 2014

Utumishi wa umma wametoa nafasi mpya za kazi za mwezi Agosti kwa watu 254 watakao jaza nafasi mbalimbali katika sekta, mamlaka na ofsi mbalimbali za serikali, changamkia nafasi hii mapema, mwisho wa kutuma maombi yote ni tarehe 19 Agosti, 2014 saa 9:30 mchana, bofya hapa chini kusoma

AJIRA BOFYA HAPA

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA