WIMBO WA "AGOSTI 13" UNAPONIKUMBUSHA BIRTHDAY YA FID Q


Hivi ulishawahi kutokea na mawazo ya  kukumbuka tarehe na mwezi kwamba kuna tukio lishawahi kutokea lakini haujui ni tukio gani?  mwisho wa siku nakumbuka kwamba kuna wimbo unaitwa  "Agosti 13" ya fareed Kubanda aka FID Q  basi ndo imenikumbusha leo kuwa ni birthday yake, happy birthday FID Q

Leo FID Q atakuwa akiachia soundtrack ya documentary yake anayotarajia kuiachia na kuipa jina 'Bongo HipHop' fuatilia kipindi cha XXL cha clouds fm kuanzia saa 7 mpaka 10 jioni kujua mengi zaidi, stay tune na hii ndio cover yake

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA