UMEONA KIFAA KIPYA CHA PETIT MAN ,JE WAMJUA NI NANI?PICHA HII HAPA

Wazungu wanasema "a picture is worth a thousand words",Kupitia account yake mwenyewe ya Instagram, Petitman_Wakuache amepost picha hii akimwonyesha mwanamke mrembo ambaye ndo wanatoka naye kwa sasa.

post hiyo imesindikizwa kwa ujumbe huu "Yes....just two of us.....and inshallah good news are coming"

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA