TANZIA: MKE WA MSANII AFANDE SELE, AFARIKI DUNIA

Aliyekuwa mke wa msanii afande Sele , Mama Tunda amefariki dunia usiku wa kuamkia leo saa 6 usiku huko mkoani Morogoro kwa ugonjwa wa Malaria,uliokuwa ukimsumbua kwa takribani siku tatu, taarifa hii imetolewa na msimamizi wa kazi za afande sele anaitwa Bwana.Jackson Busanda kupitia kipindi cha Sunrise cha Times Fm, taarifa zaidi nasema kuwa  mama Tunda atazikwa leo mkoani Morogoro. Marehemu ameacha watoto wawili (Tunda na sanaa).

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA