MANCHESTER UNITED YAAMBULIA KICHAPO KUTOKA KWA SWANSEA CITY KATIKA MECHI YA UFUNGUZI WA LIGI KUU.

Manchester United yaambulia kipigo cha 2-1 katika mechi ya kwanza ya ufunguzi wa ligi kuu ya EPL Kutoka kwa timu ya Swansea City,mechi hii imechezwa katika uwanja wa Manchester United, Old Trafford.

Goli la kwanza la Swansea city limefungwa na Sung-Yueng Ki dk ya 28 kipindi cha kwanza, Wayne Roon akasawazisha dk.53 kipindi cha pili, hatimaye dk ya 72  Gylfi Sigurdsson akitia msumari wa mwisho na kufanya matokeo kuwa 2-1 hivyo Swansea city ndo anaongoza ligi kwa sasa kwa point 3.
Ki Sung-Yeung of Swansea City scores the opening goal during the Barclays Premier League match between Manchester United and Swansea City at Old Trafford
Ki Sung-Yeung wa  Swansea City akiifungia timu yake, na kuwa goli la kwanza la msimu mpya wa Barclays Premier League katika uwanja wa Old Trafford

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA