VIDEO MPYA YA NICKI MINAJ "ANACONDA" YAFIKISHA WATAZAMAJI 5,856,035 KABLA YA SIKU KUISHA

Video ya music inayoendelea kushikilia record kutoka youtube ni ya PSY ya "Gangnam style" ambayo mpaka sasa ina zaidi ya watazamaji 2,066,230,670 tangu ilipotoka December 21,2012.

Video hii mpya ya Nicki Minaj "Anaconda" uwenda ikavunja record hiyo, video hii imekuwa gumzo kote duniani hasa kwa wapenzi wa muziki, Je ni nini haswa kimefanya video hii iweze kutazamwa zaidi na kufikisha watazamaji 5,856,035 mara baada ya kuwekwa ikiwa haijamaliza hata siku moja tangu kuwekwa kwake kwenye account yake ya vevo ya youtube?.

Lugha iliyotumika sio nzuri kabisa lakini utata mkubwa uko katika mavazi yaliyotumika kwa upande wa akina dada wanaoonekana katika video hii na Nicki Minaj mwenyewe alivyo vaa na kutingisha booty.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA