NEW AUDIO: SIKILIZA NA DOWNLOAD PROFESSOR JAY - 3 CHAFU


Profesa Jay ameachia wimbo wake uliokuwa unasubiriwa na mashabiki wake. Ni wimbo wa Hip Hop ambao unamuwakilisha Jay Hustle ambaye ni Prof aliyekuwa underground mwenye hasira miaka ya 1990 kabla hajatoka.

Ndani pia yumo Nigga J aliyekuwa mshindi wa tuzo ya hip hop akiwa na Hard Blasters Crew (HBC) na Profesa Jay ambaye ni The Heavy Weight MC wa sasa Mr. 'Kipi Sijasikia.'
Wimbo umefanywa katika studio yake ya Mwana Lizombe chini ya Producer Villy.

@professorjaytz  ameachia rasmi wimbo  wake mpya 3 CHAFU feat. Jay Hustle na Nigga J.. Tembelea www.timesfm.co.tz kuusikiliza na kuudownload. Leo kuanzia saa mbili  kamili usiku kwenye The Jump Off na @jabirsaleh Profesa Jay atakuwepo Live akiuzungumzia kiundani. Sikiliza 100.5 Times Fm #Pataburudani #PataPatanaTimesFm


Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA