HATIMAYE SHILOLE NA NUHU MZIWANDA WAACHANA.

Ile couple ya kuvutia town, shishi baby pamoja na Nuhu Mziwanda hatimaye imefikia ukingoni, kupitia kipindi cha XXL cha clouds Fm, Nuhu Mziwanda amepiga story na Gossip Cop, Soud Brown kwamba wapenzi hao wamefikia hatua ya kupigana jana usiku baada ya Nuhu kumwambia mpenzi wake apokee simu mara baada ya kukuta meseji ya kimapenzi iliyokuwa imetumwa na njemba moja, ikabidi Nuhu  kumlazimisha mpenzi wake Shishi baby kupokea kwa lazima hapo ndo zogo likaanza kwa kumwambia anayempigia kwamba "niko na mpenzi wangu nipigie baadaye" ili kukata story hapo ndo zogo likaanza mpaka kufikia hatua ya kupigwa kibao na Nuhu

Baada ya ugomvi huo uliofikia hatua mpaka Shilole kumng'ata na kutaka kumpiga kwa jiwe ndipo Nuhu akaamua kwenda kubeba kilicho chake kwa mpenzi wake huyo.

Nuhu Mziwanda hitmaker wa Msondo Ngoma amepata umaarufu zaidi pale alipo amua kujichora tatto ya jina la mpenzi wake kwenye mkono, siku za nyuma Kupitia you heard ya clouds Fm aliwahi kuulizwa na gossip cop kwamba ikitokea wameachana na mpenz wake huyo je tatoo hiyo ataifanyaje? Jibu ni lile lile alilolijibu leo pia alipoulizwa ni kwamba yale ni mapenzi hakulazimishwa na mtu yoyote kuichora so itaendelea kuwepo





Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA