DIAMOND AONYESHA TUZO ZAKE ZOTE ALIZOPATA KATIKA SHUGHULI YAKE YA MUZIKI.


Diamond Platnumz a.k.a Dangote hapo jana aliandika na kuweka picha za tuzo zake ambazo amechukua mpaka sasa Diamond msanii anaye iwakilisha Tanzania vizuri  alifunguka haya kwe mtandao wake wa facebook kuwa.

"
Kama kweli una macho mazuri heb niambie hizo ziko ngapi....? dah! ila bado naikumbuka tuzo yangu moja iloibwaga zamani...watu bwana, eti naskia waliambiwa na mganga ili mimi nishuke waniibie tunzo yangu moja halaf waipeleke kwake......

[if you really gat Strong eyes please tell me How many trophies
are there...?" 

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA