PICHA KALI NNE ZA UTATA KATI YA NICKI MINAJ NA RAPPER DRAKE KUTOKA KATIKA VIDEO YA "ANACONDA"

Nicki Minaj kupitia account yake ya instagram  amepost baadhi ya picha zilizochukuliwa katika utengenezaji wa video yake ya Anaconda inayotarajiwa kuachiwa kesho Jumatano 20/8/2014 kupitia account yake ya VEVO ya Youtube. 

Rapper Drake ameonekana kwenye video hii iliyotayarishwa na Colin Tilley. Nicki Minaj atafanya show ya Mtv Video Music Awards na huu wimbo wake mpya kutoka kwenye album ya The Pink Print.
nicki-minaj-anaconda-1 nicki-minaj-anaconda-2 nicki-minaj-anaconda-3 nicki-minaj-anaconda-4

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA