UWEKAJI JIWE LA MSINGI UJENZI WA MAKTABA YA KISASA, CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini katika
Kitabu maalum cha Kampuni ya Jiangsu Jiangdu construction group
inayojenga Maktaba Mpya ya Chuo kikuu cha Dar es Salaam UD mara baada ya
kuwasili chuoni hapo.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu
wa Chuo hicho Profesa Rwekaza Mukandala, Balozi wa China hapa nchini lu
you Qing, maafisa wa kampuni ya Kutoka China ya Jiangsu Jiangdu
wakiweka mchanga kama ishara ya kuweka jiwe la msingi katika Maktaba
Mpya ya Chuo kikuu cha Dar es Salaam UD mara baada ya kuwasili chuoni
hapo. Maktaba hiyo itakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi zaidi ya 2000
kwa wakati mmoja.

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika
picha ya pamoja na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dkt. Jakaya
Kikwete, Makamu wa Chuo hicho Profesa Rwekaza Mukandala, Balozi wa China
hapa nchini lu you Qing, Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba
na makamu wa Rais katika serikali ya awamu ya nne Mohamed Gharib Bilal,
Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako na Spika Mstaafu Pius Msekwa
mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Maktaba hiyo ya kisasa.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
jambo na Balozi wa China hapa nchini lu youQing kabla ya kwenda
kuzungumza na jamii ya wanachuo kikuu cha Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
jambo na Balozi wa China hapa nchini lu youQing kabla ya kwenda
kuzungumza na jamii ya wanachuo kikuu cha Dar es Salaam.(P.T)
Makamu
Mkuu wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam Profesa Rwekaza Mukandala akitoa
maelezo kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli kuhusu ujenzi wa Maktaba hiyo ya kisasa itakayochukua
wanafunzi zaidi ya 2000 kwa wakati mmoja. Wengine katika picha ni Mkuu
wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dkt. Jakaya Kikwete pamoja na Wziri wa
Elimu Profesa Joyce Ndalichako

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipita kwenye
mabango ya picha za mfano wa majengo ya Maktaba mpya itakayojengwa
katika Chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia
mamia ya jamii ya wanachuo na wananchi mara baada ya kuweka jiwe la
msingi la ujenzi wa Maktaba mpya itakayochukua zaidi ya wanafunzi 2000
kwa wakati mmoja.
Mkuu
wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
machapisho ya tafiti mbalimbali za madini na mambo mbalimbali ya
kimaendeleo zilizofanywa na wahadhiri wa chuo hicho mara baada ya
kuwahutubia.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akionesha
machapisho hayo.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akionesha machapisho hayo.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaagana na
baadhi ya Wanafunzi pamoja na wafanyakazi wa Chuo Kikuu cha Dar es
Salaam mara baada ya kumaliza kuwahutubia.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaagana na
Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba mara baada ya kumaliza
mkutano huo katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Mlimani jijini Dar es
Salaam. PICHA NA IKULU
Comments
Post a Comment