ELIMU KWA UMMA JUU YA MANUFAA YA MATUMIZI YA MAJINA YA KIKOA CHA DOT TZ (.TZ DOMAIN NAMES)
Taarifa kwa umma kuhusu matumizi ya majina ya kikoa cha .tz
TAARIFA KWA UMMA TOKA RAJISI YA DOT TZ
YAH: ELIMU KWA UMMA JUU YA MANUFAA YA MATUMIZI YA MAJINA YA KIKOA CHA DOT TZ (.TZ DOMAIN NAMES)
Tanzania Network Information Centre (tzNIC) au Rajisi ya dot tz ni kampuni inayoendesha na kusimamia rasilimali ya nchi (dot tz) kwa ajili mawasiliano kupitia mtandao wa Intaneti. tzNIC inapenda kuuarifu umma wa watanzania kuwa imetenga siku za Jumatatu (27 Juni 2016) na Jumanne (28 Juni 2016) kutoa elimu kwa umma juu ya kazi zake, manufaa ya matumizi ya majina ya kikoa cha dot tz (.tz domain names) na namna bora ya kuhama kutoka matumizi ya majina mengine ya vikoa kama dot com na dot org kwenda kikoa cha dot tz. Katika kipindi hicho tzNIC pia itapokea maoni mbalimbali juu ya uboreshaji wa huduma zake na nini kifanyike ili watanzania wengi wasajili na kutumia majina ya kikoa cha dot tz kwa ajili ya biashara zao, huduma zao na matumizi binafsi.
Tukio hili litafanyika katika ukumbi wa mikutano wa tzNIC, Ghorofa ya 8, LAPF Millennium Towers, Kijitonyama, Dar es Salaam kuanzia saa 3 mpaka saa 10 jioni. Kabla ya tukio hili tzNIC itatoa maelezo ya utangulizi kupitia kipindi cha Jambo Tanzania (TBC) siku ya Ijumaa (24 Juni 2016) au Jumatatu (27 Juni 2016) asubuhi.
Kwa wale wa mikoani na watakaoshindwa kufika wanaweza kutupigia simu (022 2772659 au 022 2772660) au kutuandikia barua pepe kupitia manager@tznic.or.tz) au info@tznic.or.tz
WOTE MNAKARIBISHWA
*************
Why use a .tz domain?
a) Identity
.tz brands your company/business/service with unique Tanzanian identity on the Internet. It is meant for all Tanzanians (people and entities).
b) Affordable and readily available
.tz domain fee is reasonably cheap and .tz domain space is not populated as compared to the rest
c) Credibility (Trust)
.tz has inbuilt credibility/trust due to company/business/service originality
d) Security
.tz domains are secure through DNSSEC and are managed based on Tanzania's legislations, policies and regulations.
e) Reaching out the world with equal competitive business powers
.tz domains provide global reach of customers with equal competitive powers (no one is small when it comes to business online)
f) Round the clock business operations
Business online over 24 hrs is possible with .tz domains
g) Favorable ranking with search engines
.tz domains have higher priority with most search engines when compared to .com and others.
h) Minimized cost of doing business or service provision
.tz enables one to do business or provide services online at a minimum cost compared to other means (e-commerce, e-business, etc)
i) Affordable electronic communication
.tz domains facilitate diminution of electronic communication costs
j) Local and affordable support
.tz support is available locally in both English and Swahili and as per local business environments.
Comments
Post a Comment