KUWA MAKINI



Inasemekana kuwa ATM ni eneo ambalo linabeba vimelea vya magonjwa
keypads ndizo hasaaa zenye vimelea vingi kwa sababu ni watu wengi wanatumia ambao hujui wametoka wapi wameshika nini hivyo na wewe kuja tu na kuanza kutumia unaweza beba vimelea vya magonjwa kwenye mikono yako.Nawa mikono mara kwa mara hasa kama umetoka kutoa hela kwenye Atm Machines kabla hujaanza kupeleka mikono kinywani,puani,machoni n.k...

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA