MUSOMA KUMEKUCHA SASA


Augustin Mgendi

Anaitwa Augustin Mgendi ni mwana habari aliyesoma Royal jijini Dar es Salaam na sasa ni mtangazaji wa redio Victoria fm ya mjini Musoma na mwakilishi wa gazeti la Jambo Leo mjini Musoma.




Umati wa wakazi wa kata ya Mkendo mjni Musoma ambao jana walijitokeza kuwasikiliza wagombea wa CCM wanaoomba ridhaa kuwakilisha bendera ya CCM katika nafasi ya ubunge katika jimbo la Musoma.



Picha ya wagombea wa ccm wanaomba ridhaa ya wana CCM wenzake wa kwanza kulia ni Deus Munasa na Mbunge anayemaliza muda wake Vedastus Mathayo.



Ni mmoja wa wagombea wa nafasi ya ubunge katika chama cha Mapinduzi CCM ambaye amesoma Korea na sasa amerudi nyumbani kuleta mabadiliko anaitwa Eiud Esseko Tongolo ambaye ana kauli mbiu ya Changamoto ya mabadiliko Musoma (Challenge Musoma Change).



Picha ya katibu wa CCM mkoani Mara akiwa ofisini anaitwa Ndekubali Ndeng'aso

Habari hii na picha ni kwa hisani ya mdau Augustin Mgendi

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA