MAMIA WAJITOKEZA KUMSIDIKIZA VINCENT NYERERE KURUDISHA FOMU

Wakazi wa jimbo la Musoma mjini leo wamejitokeza kwa wingi wakimsidikiza mgombea Ubunge wa jimbo la Musoma mjini kwa tiketi ya chama cha CHADEMA bwana Vincent Nyerere wakati wa urejeshaji wa fomu ya kugombea ubunge kwa tiketi ya chama hicho.wadau wote wa blog hii wanakutakia kila la kheri katika kuuletea mkoa wetu Maendeleo.
Comments
Post a Comment