WACHEZAJI 70 WACHAGULIWA KUUNDA TIMU YA SERENGETI BOYS




Zaidi ya wachezaji sabini wateuliwa kuunda timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17.
Zaidi ya wachezaji sabini wameteuliwa kuunda timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17 SERENGENTI BOYS kutoka katika mashindano ya COPA COCA COLA ambayo tayari yameingia katika hatua ya nusu fainali.
Kocha masaindizi wa timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17 SLYVESTER MASHI amesema vijana wanaoshiriki mashindano ya mwaka huu ya COPA COCA COLA wameonyesha vipaji vya hali ya juu na ni hazina kwa taifa
Mashindano ya COPA COCA COLA yameingia katika hatua ya NUSU FAINALI kwa mchezo mmoja kati ya KINONDONI na MJINI MAGHARIBI wakati kesho KIGOMA inateremka dimbani kuivaa TEMEKE

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA