BAADA YA MGOMO HATIMAYE DALADALA ZAREJEA KUTOA HUDUMA.


Wakati huo huo Mwenyekiti wa chama cha madereva wa daladala Kanda ya Ziwa Protas Dede, amewaomba radhi wananchi kwa hali iliyotokeza na usumbufu walioupata kwani imewabidi kuchukuwa hatua hiyo kwa dhamira ya kutetea haki yao ili mambo yaende sawa.






Comments
Post a Comment