BIRTHDAY PARTY YA RONA CHIZA YAFANA SANA

Jana Alhamis ilikuwa ni siku ya kuzaliwa mke wa rafiki yangu Ramadhani Juma Kanzaga ambaye anaitwa Rona Chiza (Mama Akrama). Katika hali ya kumuacha katika mshangao yaani "suprise"mumewe aliamua kumfanyia sherehe yake ya kuzaliwa kwa kuwaarika marafiki zao wa karibu bila mkewe kufahamu katika hotel ya Tamal iliyopo maeneo ya Mwenge jijini Dar Es Salaam.

Matukio katika picha.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA