INASEMEKANA LAKINI MGAO UMEENDA HIVI KWENYE ACCOUNT YA ESCROW

Hii ni mojawapo wa taarifa iliyosambaa sana kwenye mitandao ya kijamii juu ya mgawanyo uliofanyika kutoka kwenye account ya ESCROW, sina uhakika na source yake lakini kulingana na situation na jinsi ilivyosambaa sio mbaya watanzania wengine pia kuweza kuona kilichofanyika, lakini taarifa zote ziko chini ya kamati ya bunge ya hesabu za serikali (PAC)

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA