LADY JAYDEE AIBUKA NA – FOREVER

Hii ndio single mpya ya Lady Jaydee  aliyomshirikisha Dabo inayoitwa “Forever”. Hii ni baada ya Kimya cha muda mrefu kidogo na siku ya Ijumaa ndio itakuwa Official video launch day pale M.O.G Bar & Restaurant. Wimbo umetayarishwa na producer mahiri Man Water wa Combination Sounds, na video ya wimbo huo imefanywa na muongozaji mkongwe Adam Juma wa Next Level.

Comments