PICHA YA DIAMOND NA ZARI WAKINYONYANA NDIMI YANASWA

Kumekuwa na tetesi za kila aina kati ya Bosslady Zari ambaye ni mwanamuziki na binti tajiri kutoka nchini Uganda kuwa na mahusiano na Hit Marker wa mdogo mdogo, Diamond Platnumz hatimaye picha imenaswa wakinyonyana ndimi, 

Wiki iliyopita kupitia kipindi cha XXL, Diamond alibanwa na watangazaji wa kipindi hicho Adam na B12 kujibu kama kuna lolote linaloendelea la kimahusiano baina yao lakini Diamond aliwajibu kuwa wana project yao ya kimziki lakini sio mambo mengine.
Zari, Le Mutuz na Diamond

Beautiful lady Zari

Project ikiendelea uku zali akionekana kuvaa kofia ya Diamond

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA