LORI LALIPUKA MIKUMI MKOANI MOROGORO

Lori
lililokuwa limebeba mapipa ya lami likiteketea kwa moto baada ya
kulipuka mapema leo asubuhi maeneo ya Mikumi mkoani Morogoro. Chanzo cha
mlipuko huo bado hakijafahamika.


Baadhi ya watu wakishuhudia tukio hilo la ajali.
(PICHA NA MICHUZI BLOG)(P.T)
Comments
Post a Comment