[picha] Wananchi wanavyofuatilia mjadala wa 'escrow' Bungeni


Wakazi wa jiji la Mbeya wakifuatilia michango ya wabunge kuhusu sakata la Escrow mjini Dodoma jana.
picha: Christopher Nyenyembe, Mbeya


Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe akichangia mjadala wa sakata la Escrow mjini Dodoma juzi.


Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka akichangia mjadala wa sakata la Escrow mjini Dodoma jana.

Kangi Alphaxard Lugola, mbunge wa Mwibara, Mara.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA