PICHA: TIZAMA PICHA 15 ZA HARUSI YA "SOLANGE" AMBAYE NI MDOGO WAKE NA MSANII BEYONCE, RANGI NYEUPE YA MAVAZI YATAWALA

Mdogo wake na  msanii wa Rnb Beyonce Knowles anayeitwa 'Solange' mwenye miaka 28 amefunga ndoa weekend hii na mpenzi wake wa muda mrefu Alan Ferguson '51'.

Beyonce, Jay Z na mtoto Blue Ivy wamehudhuria harusi ya Solange huku wamevalia nguo nyeupe. 


 














Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA