PICHA: WANAWAKE WA KENYA WATEMBEA NA SKETI FUPI SANA NA WENGINE KUONYESHA NGUO ZA NDANI KUPIGA SHERIA YA KUVAA NGUO FUPI


Leo kulikuwa na maandamano makubwa yaliyofanywa na wanawake wa Kenya katika kupinga wanawake kupangiwa nguo za kuvaa, maandamano hayo yalikuwa katikati ya jiji la Nairobi eneo la Uhuru Park.

Maandamano hayo yameongozwa na wanaharakati wa haki za wanawake wakiishinikiza serikali kuwapa uhuru wa kuchagua nguo za kuvaa, Maandamano hayo yametokana na baadhi ya vijana wa kiume kuwakamata baadhi ya wasichana waliovaa nguo fupi na kuwavua hadharani.na kumtesa.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA