KUWENI MAKINI NA WIZI HUU MPYA WA MTANDAO

Ni mara ya pili sasa napokea Email kutoka kwa matapeli hawa, mara ya kwanza ilinibidi niifoward email hii  kwenye benki nayotumia kwa kuwa nimeunganishwa na huduma hii ya internet banking lakini nilijibiwa kwamba huo ni wizi hawana taarifa yoyote kutoka benki kuu, sasa leo hii nimepata tena email yao. Tafadhari chukua hatua.


Bank Of Tanzania
This is a security update notice for all Banks Customers to update there internet login access for auditing purpose.

Failure to do this might result in blocking of your online access; Kindly click to continue:  Banking Service

We apologize for the inconveniences this may cause

Thanks
Banking Operations
Email address wanayotumia ni <tgb.purchaseorder@gmail.com>

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA