PROGRAMU YA "WIRELURKER" KUHARIBU VIFAA VYA APPLE


Programu inayoharibu mifumo ya kompyuta inayoaminika kutoka uchina inalenga kompyuta na vifaa vingine vya kampuni ya Apple. Kampuni ya Usalama Palo Alto Networks inasema kuwa programu hiyo inayojiita "WireLurker" ina uwezo wa kupata habari za kibinafsi, imeenea kwa kutumia programu za apple zinazopatikana katika hifadhi za programu. Programu hiyo ina uwezo wa kuhama kutoka dirisha la kompyuta hadi katika kiini cha kompyuta kwa zaidi ya vifaa mia nne waya za kuhamisha ujumbe. wadadisi wamesema kuwa wanaotumia vifaa vya apple wanafaa kutumia hifadhi za programu rasmi.

CHANZO BBC

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA