Mtoto sasa amzuzua Diamond kutwa nzima chumbani akipiga picha
Kitendo cha kujaaliwa kupata mtoto wa kike, kimeonekana kumzuzua mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ ambapo sasa anadaiwa kushinda kutwa nzima chumbani akipiga picha za kuposti mitandaoni.
Chanzo makini ambacho ni ndugu wa Diamond kimeeleza kuwa, tangu jamaa huyo aitwe Baba Tiffah, amekuwa akitumia muda mwingi na mwanaye huyo kiasi kwamba amepunguza hata kasi ya kufanya muziki na kutokula.
Comments
Post a Comment