Walioteuliwa CCM kugombea Ubunge, Uwakilishi, Viti Maalumu 2015


Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akiendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, leo Agosti 13, 2015, katika ukumbi uliopo Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, kupitisha majina ya walioomba kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika majimbo mbalimbali. Kulia kwake ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein. 



Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, leo Agosti 13, 2015, katika ukumbi uliopo Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, kupitisha majina ya walioomba kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika majimbo mbalimbali. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein. na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Bara, Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana


Wajumbe wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete wakati akiendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, leo Agosti 13, 2015, katika ukumbi uliopo Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, kupitisha majina ya walioomba kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika majimbo mbalimbali.


Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia), Mgombea Urais mteule kwa tiketi ya CCM, John Magufuli na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai, wakifuatilia mambo mbalimbali, wakati Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, leo Agosti 13, 2015, katika ukumbi uliopo Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, kupitisha majina ya walioomba kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika majimbo mbalimbali.


Wajumbe wa NEC, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, Katibu Mkuu wa UWT Amina Makilagi na Mwenyekiti wa Jumuia hiyo, Sophia Simba, wakijadili jambo kabla ya kikao cha NEC, kuanza leo katika ukumbi uliopo Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.


Wajumbe wakiperuzi makabrasha, wakati Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, leo Agosti 13, 2015, katika ukumbi uliopo Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, kupitisha majina ya walioomba kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika majimbo mbalimbali

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA