VIDEO: Mayunga ameiachia ‘Nice Couple’.. hii ya kwanza kabisa baada ya Ushindi wake wa #TraceMusicStar

mayunga
Mtanzania aliyeibuka mshindi kwenye shindano la Trace Music Star mbele ya Majaji watatu ndani ya Nairobi +254 ikiwemo AkonMayunga anaanza rasmi kutengeneza njia yake kubwa kwenye muziki wa Kimataifa baada ya kuiachia hii ngoma ya kwanza kabisa baada ya ushindi wake.
Kwa mara ya kwanza huu mdundo uliachiwa EXCLUSIVE on #TraceUrban na sasahivi tunapata nafasi nyingine kuishuhudia hii baada ya kunifikia na mimi mtu wako wa nguvu.
mayunga3
Hii video iko hapa mtu wangu, play ucheki huu ujio wa Mayunga chini ya usimamizi wa lebo ya Universal Music na mikono ya Akon.
mayung4
Video imefanyika South Africa chini ya usimamizi wa Trace Urban South Africa pamoja na Universal Records ambako Akon alihusika kwa upande huo na kama hukubahatika kuitazama video hiyo July 31 karibu uitazame tena hapa chini mtu wangu.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA