ARSENAL HOI KWA WEST HAM

1
Mauro Zarate (katikati) akishangilia na wenzake baada ya kuifungia West Ham bao la pili katika dakika ya 57.
2
Mashabiki wa West Ham wakishangilia ushindi dhidi ya Arsenal leo.
3
Patashika langoni mwa West Ham
kosa
Olivier Giroud akijaribu kuifungia Arsenal bila mafanikio.
kouyate
Cheikhou Kouyate akiifungia West Ham bao la kwanza katika dakika ya 43.
wenger  
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger akilalamika wakati wa mchezo wa leo.
KLABU ya Arsenal imekubali kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa West Ham katika mechi yao ya kwanza ya Ligi Kuu ya England leo.
Mechi hiyo imepigwa katika dimba la Emirates, London ambapo vijana hao wa Arsene Wenger wamekubali kichapo hicho huku mabao yakifungwa na Cheikhou Kouyate dakika ya 43 na Mauro Zarate katika dakika ya 57.
Vikosi: Arsenal: Cech, Debuchy (Sanchez 67), Mertesacker, Koscielny, Monreal, Coquelin (Walcott 58), Cazorla, Ramsey, Ozil, Oxlade-Chamberlain, Giroud
Waliokuwa benchi: Gibbs, Gabriel, Arteta, Ospina, Chambers
West Ham: Adrian, Tomkins, Reid, Ogbonna, Cresswell, Oxford (Nolan 79), Noble, Kouyate, Payet, Zarate (Jarvis 63), Sakho (Maiga 89)
Waliokuwa benchi: Randolph, Collins, Poyet, Lanzini

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA