DK MAGUFULI "ATAMBULISHWA KWA WAZEE WA DAR"


Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Mhe Samia Suluhu Hassan, mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama hicho tawala leo Agosti 19, 2015 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dkt John Pombe Magufuli akiongea na wazee wa Dar es Salaam leo Agosti 19, 2015 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.(P.T)
Mwenyekiti wa Wazee wa CCM wa Dar es Salaam akipeana mikono na Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM tawala Dkt John Pombe Magufuli baada ya kuongea na wazee wa Dar es Salaam
Mwenyekiti wa Wazee wa CCM wa Dar es Salaam akipeana mikono na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Samia Suluhu Hassan.
Picha: Ikulu

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA