PROFESSA JAY ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MIKUMI KUPITIA CHADEMA
Nimechukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la MIKUMI, Eeeh MWENYEZI MUNGU NISAIDIE!!!
kupitia ukurasa wake wa Twitter, msanii wa bongo fleva Joseph Haule aka profesa Jay amechukua rasmi fomu ya kugombea jimbo la Mikumi kupitia CHADEMA.
Comments
Post a Comment