TASWIRA:LOWASSA NDANI YA JIJI LA MBEYA




 Mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Ukawa kwa tiketi ya Chadema Mhe.Edward Lowassa akisalimiana na viongozi mbalimbali wa Ukawa baada ya kutua Jijini Mbeya leo kwa lengo la kujitambulisha .. Wapenzi wa Ukawa Jijini Mbeya  wakati wa shamrashamra za kumpokea Mgombea Urais wa Ukawa kupitia Chadema Mhe. Edward Lowassa ambaye ametua Jijini humo leo. 
Mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Ukawa kwa tiketi ya Chadema Mhe.Edward Lowassa akisalimiana na viongozi mbalimbali wa Ukawa baada ya kutua Jijini Mbeya leo kwa lengo la kujitambulisha ..
Wapenzi wa Ukawa Jijini Mbeya wakati wa shamrashamra za kumpokea Mgombea Urais wa Ukawa kupitia Chadema Mhe. Edward Lowassa ambaye ametua Jijini humo leo. 
Mgombea Urais wa UKAWA Kupitia CHADEMA Leo atakuwa Jijini Mbeya kwa ajili ya kutambulishwa na kusaka wadhamini.
Hapa kuna picha kadhaa za shamrashamra za wananchi wakimsubiri kwa hamu kubwa uwanja wa ndege wa Songwe.





Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA