CALL FOR INTERVIEW AT TCU
TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA (TCU)
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania inawatangazia waombaji wa nafasi za ajirakufuatiatangazo lililotolewa tarehe 19 Juni 2015 kuwa wamechaguliwa kufanya usaili wa mchujo wa maandishi utakaofanyika katika ukumbi wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) kama ifuatavyo:-
1. Afisa Udahili Daraja II
12/08/2015
3.00 Asubuhi
NACTE
2. Afisa Ithibati Daraja II
13/08/2015
3.00 Asubuhi
NACTE
3. Mtunza Kumbukumbu Msaidizi Daraja II
14/08/2015
3.00 Asubuhi
NACTE
Mambo muhimu ya kuzingatia:
1. Wasailiwa wafike na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi (mf. kitambulisho cha Utaifa, kupigia
kura, kadi ya benki, hati ya kusafiria au kitambulisho cha kazi).
2. Wasailiwa wafike na vyeti halisi (Original certificates)–Testimonials “Provisional results”, ‘Statement of Results’
HAVITAKUBALIWA.
3. Kwa wale waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na mamlaka husika (TCU, NACTE & NECTA).
4. Kila msailiwa atajigharamia kwa chakula, malazi na usafiri.
5. Wale ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa maombi yao haya kufanikiwa na tunawashukuru kwa kuonyesha nia ya kufanya kazi na Tume.
Faili la PDF: KUITWA KWENYE USAILI.pdf

Comments
Post a Comment